Mhe.January Makamba(MB),Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu
wa Rais(Muungano na Mazingira ) ameitumia Siku ya Tarehe 25 /6/2016 kushiriki
katika mahafali ya 24 ya chuo cha biblia Vuga (VUGA BIBLE )kilichopo
katika halmashauri ya Bumbuli mkoani Tanga.
Vilevile Mhe.January Makamba alipata fursa ya kukagua baadhi ya miradi ya
maendeleo inayofanywa na chuo hicho,Pia
aliupongeza uongozi wa chuo kwa kutoa elimu mbali mbali kwa wananchi
waishio karibu na chuo na bumbuli kwa ujumla.
Mhe.January
Makamba akiwasili chuoni hapo huku akisalimiana na wenyeji
Mh Makamba akijifunza
namna ya utengenezaji wa Mizinga ya nyuki kwa kutumia udongowa
mfanyanzi,mizinga hiyo inauwezo wa kudumu miaka 80-100.
Mh Makamba akielekezwa jambo huku akijifunza
historia ya chuo hicho kwa njia ya picha.
Akitazama
baadhi ya kazi za mikono za kikundi cha wakina mama wa Upendo,kikundi hicho
kimepata mafunzo chuoni hapo.
Mh Makamba akifuruhia jambo kwa pamoja na Wana kikundi hao.
Picha zote na Imani Selemani Nsamila
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...