Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Deodatus Kinawiro akizungumza jambo wakati wa harambee ya uchangiaji wa madawati kwa kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano John Pombe Magufuli kwaniaba ya Wilaya yake Karagwe ambapo harambee hiyo ilifanyika Jijini Dar es Salaam kulia ni Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya hiyo, Willace Mashanda na kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Karagwe Innocent Bashungwa.
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).
Wadau wa ishio Dar es Salaam ambao ni wazaliwa wa Karagwe wakiwa katika harambee hiyo Jijini Dar es Salaam
Kuanzia kulia ni Kaimu Mkurugenzi Wilaya ya Karagwe, Eng, Walter Kirita, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe, Wallace Mashanda, Mkuu wailaya ya Karagwe, Deodatus Kinawiro, Mbunge wa Jimbo la Karagwe Mh. Innocent Bashungwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya harambee hiyo, Medard Birusya.


Ina maana kuna madarasa ya kutosha ila hakuna madawati.
ReplyDeleteMbona hakuna kuchangia uongezaji wa madarasa, vitabu, vifaa, na walimu?