Kaimu Meneja wa NMB Tawi la Lindi,Rose Lwenje (kushoto)Akikabdhi hati ya Malipo ya shilingi Laki 4 kwa Mwl  Mohamed Mng’umba baada ya Kuibuka na Ushindi katoka Shindano Lilifanyika katika Tawi la Lindi Na kushirikisha wateja 4 kutoka matawi Mengine.
Bw Ramadhan Chaurembo akipokea Pongezi toka kwa washiriki wenzake baada ya Kuibuka na Kitita cha Shilingi Milioni 3 Katika Shindano la Pata Patia..Katika Mchezo Huo bw Nurudin Seleman Mkonga Kutoka Tawi la Masasi Alishinda shilingi Milion 1,Betty Joel Lameck na Mohamed Mng’umba,Kutoka Tawi la Kilwa Wakijishindia Shilingi Laki 4 Kila Mmoja.
Kaimu Meneja wa Tawi la NMB Lindi,Rose Lwenje Akikabdhi Hati ya Malipo ya Shilingi Milioni 3 Kwa Mteja wa Benki Hiyo Bw Ramadhan Chaurembo Baada ya Kuibuka Mshindi wa Shindano la Pata Patia.
Baadhi ya Washiri,Wateja na Wafanyakazi wa NMB Lindi Wakishuhudia Mchezo Unavyoendelea ambapo Kila Mshiri Alishinda.
PICHA ZOTE NA Abdulaziz Ahmeid wa Lindi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...