Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha
Mwenyekiti Mwenza wa Bill and Melinda Gates Foundation, Bi.
Melinda Gates Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufanya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na Mwenyekiti Mwenza wa Bill and Melinda Gates Foundation, Bi. Melinda Gates (watatu kutoka kushoto) na ujumbe wake mara baada ya kumaliza
mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Mwenyekiti Mwenza wa Bill and Melinda Gates Foundation, Bi.
Melinda Gates mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...