Baadhi ya wakazi wa Mji wa Mbeya, wakiwa wamesimama kando ya taa ya kuwaongoza wao kuvuka katika Barabara kuu ya Mbeya - Tunduma, eneo la Mafiati. Hii inaonyesha ni jinsi gani somo la usalama Barabarani limewaingia wakazi hawa wa Mbeya toka zilipowekwa taa hizo, ukitofautisha na maeneo mengine ambao wanaona kuvuka katika eneo lililowekwa mistari ya pundamilia ni ushamba.
Wakivuka barabara baada ya kuruhusiwa na taa hizo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...