
HENRY KIHERIRE "Rest in Peace"
Arising from communications which are currently circulating through whatsapp and other social media regarding the handling of the overall bereavement on the passing of Henry Kiherile by gun shots, the family of Henry Kiherile in Houston wishes to express the following:
Tuache majungu na chuki binafsi zinazolenga watu binafsi, wengine wetu tumekaa nje kwa muda mrefu, misiba ya watanzania imekuwa ikitokea ambayo mingine imehusisha ubalozi au familia zenyewe zimekuwa zikijipanga. Ukweli ni kwamba Marekani ilivyokuwa kubwa ukitaka ubalozi uhudhurie matukio yote itabidi uwapelekee fungu la bajeti kufanya hivyo. Kutumia mitandao kuchafuana siyo vizuri.
ReplyDelete