
Washindi wa kwanza katika mchezo wa soka tamasha la PSPF mjini Dodoma, St. Johns wakiwa na kombe lao katika picha na mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura, (wapili kulia), na maafisa wa PSPF, wakiongozwa na Afisa Masoko mwandamizi, Rahma Ngassa. (wakwanza kulia). Tamasha hilo lilifanyika uwanja wa Jamhuri mjini humo Juni 5, 2016

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura, (kushoto), akipokewa na Afisa Masoko Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Rahma Ngassa, tayari kufungua tamasha la michezo la vyuo vikuu kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
Wachezaji wa UDOM wakimenyana na Chuo cha Mipango katika soka
Naibu waziri Anastazia Wambura, (kushoto), akikabidhi kombe kwa naodha wa timu ya Netiboli ya Chuo Cha Mipango.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...