Akizungumzia safari hiyo mmoja wa wanafunzi wa CHUO Kikuu Kishiriki cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo) Emmanuel Kalenzi amesema waliguswa kupanga ziara hiyo kuunga mkono wadau mbali mbali wanaohamasisha utalii wa ndani ili kuweza kuwa mabalozi kwa wengine. “Sisi kama wasomi ndio tunapaswa kuwa mabalozi kwa jamii inayotuzunguka na ili uwe balozi mzuri basi uwe umashajionea kwa macho” alisema.![]() |
| Wanafunzi hao wakiwa katika geti la kuingia hifadhi ya Ngorongoro. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Home
Unlabelled
UTALII WA NDANI WAZIDI KUPATA MASHIKO ,WASOMI CHUO KIKUU SMMUCo WATEMBELEA HIFADHI YA NGORONGORO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Wizara inapaswa kuweka mikakati ya makusudi kukuza soko la utalii wa ndani.Nchi yenye idadi ya watu takribani milioni 50,inaweza kugenerate a significant amount of revenue kupitia soko la utalii wa ndani.
ReplyDelete