Baadhi
ya wakazi wa jijini Dar es Salaam,Wakiingia katika eneo la Makao Makuu ya
Vodacom Tanzania,Mlimani City kujipatia simu Orijino kwenye Gulio la siku mbili
la simu lililoandaliwa na kampuni hiyo mwishoni mwa wiki, kampuni hiyo iliandaa
gulio hilo kutokana na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kuzima simu feki.

Mkazi
wa jijini Dar es Salaam akiwa na mfuko ukiwa na simu Orijino baada
ya kununua katika Gulio la siku mbili la simu,Lililoandaliwa na Vodacom
Tanzania na kufanyika katika Makao makuu
ya kampuni hiyo,Mlimani City jijini Dar es Salaam jana, kampuni hiyo imeamua
kufanya Gulio hilo kutokana na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania(TCRA) kuzima
simu feki.
Baadhi
ya Mawakala wa Vodacom Tanzania,wakimhudumia Aron Mwaifuge, baada ya simu yake
kuzimwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA juni 16 mwaka huu, aliyefika
kununua simu Orijino katika Gulio la siku mbili la simu lililoandaliwa na kampuni hiyo na
kufanyika mwishoni mwa wiki katika Makao makuu ya kampuni hiyo,Mlimani City
jijini Dar es Salaam.
Wakala
wa Kampuni Vodacom Tanzania, Rose Mery(kushoto) akiwasikiliza wateja waliofika
katika banda lao wakati wa Gulio la siku mbili la kuuza simu Orijino
lililoandaliwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika Makao makuu ya kampuni
hiyo,Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, kampuni hiyo iliandaa
gulio hilo kutokana na wateja wengi kuzimiwa simu zao feki na Mamlaka ya
mawasiliano Tanzania(TCRA).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...