Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina
Nkurlu(kushoto)akifurahia jambo na Msanii wa bongo movies Auntie Ezekiel na
wasanii wengine Kajala Masanja, Shilole”Shishi Baby” na Mkurugenzi wa Global
Publishers, Abdallah Mrisho wakati wa Uzinduzi wa huduma ya kutoa habari za ‘Papo Hapo’ za wasanii
mbalimbali kila siku kwa njia ya SMS kwa
kushirikiana na Global Publishers. Ili kujiunga na huduma hii mteja wa mtandao huo anatakiwa kutuma neno ambalo
ni jina la msanii wake pendwa, mfano Lady Jaydee au Ali Kiba kwenda namba 15542
na kukatwa shillingi 100 tu kwa
siku.
Meneja Uhusiano
wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(wapili kulia)akiongea na waandishi wa
habari(hawapo pichani)wakati wa Uzinduzi wa huduma ya kutoa habari za ‘Papo Hapo’ za wasanii
mbalimbali kila siku kwa njia ya SMS kwa
kushirikiana na Global Publishers. Ili kujiunga na huduma hii mteja wa mtandao huo anatakiwa kutuma neno ambalo ni jina la
msanii wake pendwa, kwenda namba 15542.
Na kukatwa shillingi 100 tu kwa
siku.Kutoka kushoto Msanii wa Bongo Movies Auntie Ezekiel,Kajala Masanja na
Mkurugenzi wa Global Publishers, Abdallah Mrisho.
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina
Nkurlu(wapili kushoto)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa
Uzinduzi wa huduma ya kutoa habari za
‘Papo Hapo’ za wasanii mbalimbali kila
siku kwa njia ya SMS kwa kushirikiana na Global Publishers. Ili kujiunga na
huduma hii mteja wa mtandao huo
anatakiwa kutuma neno ambalo ni jina la msanii wake pendwa, mfano Lady Jaydee
au Ali Kiba kwenda namba 15542. Na kukatwa shillingi 100 tu kwa siku,Kutoka kushoto ni Msanii wa Bongo
movie,Kajala Masanja, Mkurugenzi wa Global Publishers, Abdallah Mrisho na
Shilole”Shishi Baby”.
Msanii wa
muziki wa kizazi kipya,Shilole”Shishi baby”akiofafanua jambo kwa waandishi wa
habari(hawapo pichani) wakati wa Uzinduzi wa huduma ya kutoa habari za ‘Papo Hapo’ za wasanii
mbalimbali kila siku kwa njia ya SMS
kupitia mtandao wa Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na Global Publishers. Ili
kujiunga na huduma hii mteja wa mtandao
huo anatakiwa kutuma neno ambalo ni jina
la msanii wake pendwa, kwenda namba 15542.
Na kukatwa shillingi 100 tu kwa
siku.Kushoto ni Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo,Matina Nkurlu na Mkurugenzi wa
Global Publishers, Abdallah Mrisho.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...