Mkurugenzi Mtendaji wa  Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (Mviwata), Steven Ruvuga (kulia) akiwaeleza wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Maji,  kuhusu matatizo mbalimbali wanayopata wakulima na wafugaji  nchini, wakati wa mdahalo wa kujadili changamoto zinazowakabili kwenye Ukumbi wa Bunge wa Msekwa, Dodoma
 Mfugaji ambaye ni Mjumbe wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (Mviwata), Trugeti Kashu kutoka Mbarali, mkoani Mbeya, akielezea mbele ya Kamati ya Bunge ya Kilimo, Maji, Bungeni Dodoma jana, kuhusu migogoro ya wafugaji na askari wa wanyamapori wa Hifadhi ya Ruaha ambapo mifugo yao hutekwa na kuwalipisha fedha nyingi kuigomboa. Mviwata walikutana na  wajumbe wa kamati hiyo, bungeni Dodoma
 Mwenyekiti wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (Mviwata), Veronica Sophu
(kulia) akiwaeleza wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo, Uvuvi na Maji,  kuhusu matatizo mbalimbali wanayopata wakulima na wafugaji  nchini, wakati wa mdahalo wa kujadili changamoto hizo kwenye Ukumbi wa Bunge wa Msekwa, Dodoma
 Wakulima wakinyoosha mikono ili waeleze changamoto zinazowakabili mbele ya wabunge
 Wajumbe wa Mviwata akisikiliza kwa makini wakati Mwenyekiti wa Kamati, Mary Nagu akifungua mjadala huo.PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...