Mkurugenzi Mkuu Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA), Dk.Allan Kijazi (kulia), akimkabidhi cheti cha ushiriki, Mhariri wa gazeti la Jambo Leo, Joseph Kulangwa.
Mpiga picha Loveness Benard wa gazeti la Tanzania
Daima akikabidhiwa cheti. Nyuma yake ni Mpiga picha wa Daily News/Habari leo na Blogger Mroki Mroki "Father Kidevu".
Wanahabari wakimsiliza Dk. Kijazi wakati akifunga mkutano huo. Wa pili mstari wa katikati ni Nelly Mtema wa Daily News akifuatiwa na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii aliyeiwakilisha Michuzi Media Group. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...