Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (kushoto
meza kuu) akizungumza katika Kikao cha kupitisha Mpango Kazi na Mpango wa Manunuzi kwa
Mwaka wa Fedha 2016/17 wa Wizara hiyo kinachofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa
Wizara, jijini Dar es Salaam leo. Kikao hicho kimehudhuriwa na Wakuu wa Idara na Taasisi za
Wizara hiyo. Kulia meza kuu ni Naibu Katibu Mkuu, Balozi Simba Yahya.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (kushoto
meza kuu) akizungumza katika Kikao cha kupitisha Mpango Kazi na Mpango wa Manunuzi kwa
Mwaka wa Fedha 2016/17 wa Wizara hiyo kinachofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa
Wizara, jijini Dar es Salaam leo. Kikao hicho kimehudhuriwa na Wakuu wa Idara na Taasisi za
Wizara hiyo. Kulia meza kuu ni Naibu Katibu Mkuu, Balozi Simba Yahya. Picha na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...