Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akiteta na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Bi. Zamaradi Kawawa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 8, 2016.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum, Mhe. Shally Raymound (kulia) na Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 8, 2016.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Kamishina Valentino Mlowola kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 8, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...