Washiriki wa Maonesho ya sabasaba katika banda la Wizara ya Ardhi Nyumba,
na Maendeleo ya Makazi wakionesha vidole vyao Ardhini kama Ishara ya
kuhamasisha utunzaji wa Ardhi.
2.Mwanamkuu Hashim ;Mpima ardhi akimuonesha Naibu katibu Mkuu Dr.Moses
Kusiluka na Bwn Mpanda mashine ya kisasa ya kupima Ardhi (Pathefinder)
alipotembelea Banda la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
katika viwanja vya sabasaba.
David Malisa; Afisa Ardhi akikabidhi vipeperushi kwa mwananchi
aliyetembelea Banda la Wizara ya Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya makazi
baada ya kutoa Elimu kwa Mwananchi huyo.
Silvester S. Shumbusho ; Fundi Mkuu Mwanamizi wa wakala wa wa Taifa wa
Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi akionyesha tofali bora ambalo ni mbadala wa
mbao za linta, tofali hilo ni rafiki ya ya mazingira hasa uhifadhi wa misiti.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...