Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maji safi na Majitaka Dar es salaam, Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza na waandhishi wa habari wakati akichangia damu katika mpango wa damu salama ikiwa ni sehemu ya kusaidi kuokoa maisha ya watanzania wanahitaji damu, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Dawasco wakichangia damu katika mpango wa dam salama ikiwa ikiwa ni sehemu ya kusaidi kuokoa maisha wa watanzania wanaohitaji damu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...