MKUU WA kitengo cha habari wa Yanga ameitikia wito wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFF na kusema kuwa atakwenda kusikiliza wanachomuitia ila kwa madai wanayosema basi hataweza kukubali zaidi anaweza kwenda mbele zaidi. 

Muro amesema kuwa, atakachokifanya ni kuwasikiliza ila kitendo cha kumtumia barua kama Jerry Muro ni kitendo cha udhalilishaji kwani chochote anachokisema ni Yanga imemtuma sasa wanaposema kuwa amepingana nao wangetuma barua kwa Yanga na sio kumtumia yeye. 

Na nashangaa kuona mlalamikaji ni Katibu Mkuu, barua imeandikwa na katibu na kamati ipo TFF je kweli haki inaweza kutendeka na zaidi anataka wamuombe radhi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...