Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Mhe. Asia Abdallah (kushoto) akiwa na watumishi wa Zahanati ya Kilolo, Dr. Selemani Jumbe na Muuguzi wa zahanati hiyo ndugu Flora Hezron katika mwendelezo wa kuhamasisha usafi kila Jumamosi  ya mwisho wa mwezi Wilayani Kilolo 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...