Asubuhi hii Magari mawili yote ya aina ya Toyota Rav4 yamegongana katika makutano ya barabara ya Samora na Pamba karibu na Benki ya NMB Bank House na Shirika la Bima la Taifa (NIC) Jijini Dar es Salaam.
Wapita njia wakiangalia ajali hiyo ambayo hakuna aliyeumia zaidi ya magari
Wana usalama barabarani wamefika eneo la tukio mara moja.
PICHA NA BENEDICT LIWENGA-WHUSM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...