Asalaam aleykum warahmatullah wabarakat 

An Noor Community Centre Leicester inawajulisha waislamu wote kuwa sala ya Eid l fitr itasaliwa saa mbili na nusu asubuhi (08.30am) hapo Masjid An Noor Leicester. Sala hiyo itakuwa kwa waumini wote wa kiislamu wa kike kwa kiume.  
Address : 170a Belgrave gate 
                   Leicester 
                   LE1 3XL 
Baada ya sala kutakuwa na kifungua
kinywa kwa waumini wote hapo hapo Masjid An Noor. 
Shukran

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...