Baada ya Kufunga ndoa jana June 03,2016 katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Sabasaba Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza, Bibi harusi Happness Daniel Kulola wa Jijini Mwanza (kushoto) pamoja na mmewe Richard Jeremiah Gwapulukwa wa Kasamwa mkoani Geita, wamefurahia usiku wao katika Sherehe iliyofanyika kwenye ukumbi wa New Sun City Hotel Jijini Mwanza kuamkia leo. Pichani ni maharusi wakikata keki ukumbini. NaPicha zote na BMG
Bwana harusi akiwakabidhi keki wazazi wake upande wa bibi harusi.
Maharusi wakiwa ukumbini. Wa kwanza kushoto ni Patron na wa kwanza kulia ni Matron.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...