Dk. Edmund Mndolwa ambaye ameibuka mshindi wa Jumla kwa mwezi Julai baada ya kupata Ushindi wa Mikwaju ya Jumla (Gross) 87 katika mashindano yaliyofanyika jana katika Viwanja vya Golf Lugalo Jijini Dar es salaam, akijiweka sawa tayari kwa kupiga mkwaju wa mwisho katika mashindano hayo.
Dk. Edmund Mndolwa ambaye ameibuka mshindi wa Jumla kwa mwezi Julai baada ya kupata Ushindi wa Mikwaju ya Jumla (Gross) 87 akipiga mkwaju wa mwisho katika mashindano yaliyofanyika jana katika Viwanja vya Golf Lugalo Jijini Dar es salaam.
Wachezaji Golf Chipukizi wakijiweka sawa wakati wa mashindano ya kila mwisho wa Mwezi ambapo kwa mwezi Julai yalifanyika jana katika Viwanja vya Golf Lugalo Jijini Dar es salaam.
Afisa wa Habari kutoka JWTZ Luteni Selemani Semunyu akitoa Zawadi kwa Mshindi wa Kwanza kwa Watoto (Junior) Zuwena Hamisi mara baada ya Kumalizika mashindano ya mwezi July (Monthly Mug )yaliyofanyika jana katika Viwanja vya Golf Lugalo Jijini Dar es salaam. (Picha na Selemani Semunyu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...