Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uendelezaji wa Mji Mkuu Dodoma (CDA) Eng. Mulagili Paskas, akibadilishana mawazo na baadhi ya washiriki wa mkutano wa uhabarishaji kuhusu fursa zinazokuja na uamuzi wa makao makuu ya serikali kuhamia rasmi Dodoma, uliondaliwa na taasisi ya sekta binafsi TPSF siku ya Jumatatu, tarehe 15 Agosti, 2016 kwenye hoteli ya Ledger Bahari Beach. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF Bw. Godfrey Simbeye na Bw. Anic Kashasha, Meneja wa Uendelezaji wa Biashara wa JUNACO Group of Companies ya Dar es salaam. Kushoto kabisa ni Mwenyekiti wa Chama cha wafanyabiashara kutoka China.
Home
HABARI
MAMLAKA YA UENDESHAJI WA MJI MKUU DODOMA (CDA) YAKUTANA NA WASHIRIKI WA MKUTANO WA UHABARISHAJI KUHUSUA FURSA NDANI YA DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...