Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mke wake Mama Janeth Magufuli wakisali katika ibada ya Jumapili katika Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waamini wa kanisa Katoliki wa Parokia ya Chato mara baada ya Ibada katika kanisa hilo Chato Mkoani Geita.
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihamasisha mchango wa ujenzi wa Kanisa jipya la la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita. |

Shekhe wa Bakwata Wilaya ya Chato Hassan Issa Mnubi akiongoza
dua ya Kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli nje ya Msikiti wa Omar
Bin-L-Khattab Chato Mkoani Geita.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
MKUU WA NCHI SALA NA MAOMBI NDIYO NGUZO PEKEE LAKINI,
ReplyDeleteMTU ANAPOFANYA KILE ANACHOKIONA KUWA WAJIBU WAKE KWA WATU WAKE NA NCHI YAKE, MTU HUYO ANAWEZA KUPUMZIKA KWA AMANI BAADAYE.
DR JAMESY