Aziongezewa zawadi ya Mbwa mlinzi Domo Baya Bulldog) !
Pia apewa sanamu la mbwa kuweka getini kutaadharisha wageni
Siku kama ya leo 19 September ndio siku ya kuzaliwa mkuu wa bendi ya Ngoma Africa aka FFU ya kule ujerumani, Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja (pichani) alizaliwa mjini Dar-es-Salaam, akiwa mtoto wa kwanza wa kiume wa Bw.Jumanne Saleh Makunja Ngayonga (RIP) na Bi.Moza Hassan Seif Mpili (Mama Makunja), Mwanamuziki Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja leo ndio Happy Birthday !!!!! yake
Pia amepewa zawadi ya mlinzi mwingine mbwa aina
ya Bulldog ,mbwa huyo ana umri wa mwaka moja na nusu amepewa mafunzo
maalumu na ana uwezo wa kukimbia mita 300 kwa sekunde 4,akukung'ata ni
sawa.
na kudondokewa na chuma kilo 40 pia ananguvu ya kasi ya kuangusha
kupiga kikumbo kilo 75,mkuu huyo wa Ngoma Africa band apewa pia sanamu la mbwa kwa kuweka getini kwa kutaadharisha watu.
pia unaweza kuburudika na kusherekea naye katika kambi yao FFU-Ughaibuni at http://www.ngoma-africa.com au www.ngoma-africa.com
ungana nao pia at www.facebook.com/ngomaafricaba nd
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...