Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest
Rwegasira(katikati) katika Jukwaa akipokea Salaam ya heshima kutoka kwa Gwaride
la Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi Daraja la Kwanza kozi Na. 22 ya Mwaka
2016(hawapo pichani) katika hafla ya kufunga Mafunzo hayo leo Septemba 16, 2016
Chuo cha Magereza, Kiwira Mbeya. Kushoto
ni Kamishna Jenerali wa Magereza, CGP- John Casmir Minja.
Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira akikagua
Gwaride la Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi Daraja la Kwanza kozi Na. 22 ya Mwaka
2016.
Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira
akimvisha cheo cha Koplo wa Jeshi la Magereza Askari Mhitimu wa Mafunzo hayo
kwa niaba ya wenzake.
Kamishna
Jenerali wa Magereza, CGP- John Casmir Minja(kushoto) katika jukwaa kuu na
Mgeni rasmi wakifuatilia maonesho mbalimbali ya kujihami askari kama
wanavyoonekana katika picha.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...