Baada ya mapumziko ya siku moja, kikosi cha Mbeya City Fc leo kimeanza rasmi mazoezi kujiweka sawa tayari kwa mchezo mwingine wa ligi kuu ya soka Tanzania bara dhidi ya Simba Sc uliopangwa kuchezwa kwenye uwanja wa Sokoine jumatano ijayo hii ikiwani siku tano tu baada ya suluhu ya bila kufungana na Stand United. Kwa taarifa kamili na mengi mengineyo ya Mbeya City BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
WAAMBIENI WAJE TUKO TAYARI – Mbeya City Council FC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...