
Miss World 2016 akivalishwa taji
Afrika Mashariki imeweza kuwakilshwa vizuri na miss kutoka nchini Kenya baada ya kufanikiwa kuingia Top 5 na ndio nchi pekee ya Afrika iliyofanikiwa kuingia Top 5 ya Miss World, huku Miss Dominician Republic akishika nafasi ya pili na Miss Indonesia akishika nafasi ya tatu.
Mashindano hayo hayo yamefanyika Washington Marekani, Afrika ilipata nafasi ya nchi za Kenya na Ghana kuingia Top 20.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...