Vijana wanojishughulisha na kazi ya ubebaji mizigo ya abiria wanaosafiri kwenda mikoani katika Stendi kuu ya Mabasi ya Mikoani na nchi za jirani, Ubungo jijini Dar es salaam wakisubiri abiria wa kuwabebea mizigo, ambapo kwa mujibu wa mmoja wao alisema leo mambo si shwari sana kama ilivyo kwa siku nyingine.
Home
Unlabelled
KIJIWE KIMENUNA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...