Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimnowa bondia Vicent Mbilinyi kwa ajili ya mpambano wake na Mrisho Adamu utakaofanyika katika ukumbi wa Manyara Park desemba 31 mpambano wa raundi kumi
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Iddi Mkwela wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Super D Coach Uhuru GYM Kariakoo Mbilinyi anajiandaa na mpambano wake na Mrisho Adamu utakaofanyika Desemba 31 katika ukumbi wa Manyara Park Manzese
Mabondia Iddi Mkwela kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi Mbilinyi anajiandaa na mpambano wake Desemba 31 kupambana na Mrisho Adamu
Mabondia Iddi Mkwela kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi Mbilinyi anajiandaa na mpambano wake Desemba 31 kupambana na Mrisho Adamu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...