Waendesha bodaboda wa Arusha wakiingia kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha  kwa maandamano kumsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja huo leo Desemba 3, 2016


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja  wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Desemba 3, 2016. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Pikipiki 200 walizokabidhiwa vijana wa Arusha ili wajiajiri leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kweli inawezekana. Miaka mingi iliyopita Baba yetu alisema
    IT CAN BE DONE PLAY YOUR PART. Asanteni saaaaana awamu ya tano.
    Wale Kasukuz wataisoma namba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...