| Balozi wa India Sandeep Arya akiongea na waandishi wa habari wakati wa hafla ya uzinduzi wa maonesho ya bidhaa za vyakula kutoka India uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip, Dar Es Salaam. |
| Wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini mkutano huo wa uzinduzi wa maonesho hayo. |
| Maonesho ya bidhaa za vyakula yakiendelea. Habari kamili BOFYA HAPA |


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...