Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas, (kushoto), akikabidhiwa fomu ya uanachama wa Mfuko baada ya kufanya taratibu za kuijaza fomu hiyo, Desemba 5, 2016.

Dkt. Abassa, akijaza fomu hiyo kwa usaidizi wa Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF, Bw. Abdul Njaidi (kulia)

 Dkt. Abass(kushoto), akiweka dole gumba kwenye fomu hiyo
 Dkt. Abass (kushoto), akwia amekamata fomu hiyo kabla ya kuijaza wakati Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF, Bw. Abdul Njaidi, akimpatia maelezo zaidi ya utaratibu wa kujaza fomu hiyo

Dkt. Hassan Abass akizungumza na Mwenyekiti wa Mtandao wa Bloggers Tanzania, (TBN), Bw. Joachim Mushi, (wa pili kulia) na Katibu wa TBN, Bi. Khadija Khalili (watatu kulia), na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF, Bw. Abdul Njaidi, muda mfupoi baada ya Dkt. Abbas, kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa TBN kwenye ukumbi wa Golden Jubilee Towers jijini Dar es Salaam, Desemba 5, 2016. PSPF ni mmoja wa wadhamini wa Mkutano huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...