Naibu
Katibu Mkuu mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akimpa maelezo Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, kuhusu jengo la mikutano la
CCM, lililopo Kilimani mjini Dodoma wakati Naibu Katibu Mkuu huyo mpya
alipotembelea jengo hilo akiwa katika ziara ya kukagua mali za CCM, leo.
Kushoto ni Mkuu wa Utawala Makao Makuu ya CCM, Innocent Msena na kulia
ni Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Utumishi na Uendeshaji Makao Makuu ya
CCM Filbert Mdaki..
Mafara wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo ukiwa mbele ya jengo hilo la mikutano la CCM
Naibu
Katibu Mkuu mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akimpa maelezo Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo wakati wakiizunguka kuikagua
nyumba ya CCM ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Mpogolo alipokuwa katika
ziara ya kukagua mali za Chama mjini Dodoma, leo.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akionyeshwa gari
lililofunguliwa boneti, kupata uthibisho wa gari tatizo la gari,
alipokuwa akikagua magari mabovu ya Chama, akiwa katika ziara ya kukagua
mali za Chama, leo mjini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...