Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (Kulia), akifafanua jambo kwa Waziri wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira wa Zanzibar, Mhe. Salama Aboud Talib, wakati wa mazungumzo yao kuhusu ushirikiano baina ya Wizara hizo mbili hususan katika sekta ya nishati. Waziri Talib alimtembelea Waziri Muhongo ofisini kwake jijini Dar es Salaam
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (Kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira wa Zanzibar, Mhe. Salama Aboud Talib, mara baada ya mazungumzo kuhusu ushirikiano baina ya Wizara hizo mbili hususan katika sekta ya nishati yaliyofanyika Ofisini kwa Waziri Muhongo jijini Dar es Salaam, hivi karibuni.
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (Kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ujerumani hapa nchini, Egon Kochanke baada ya mazungumzo yao. Balozi Kochanke alimtembelea Waziri Muhongo hivi karibuni Ofisini kwake jijini Dar es Salaam na kuzungumzia ushirikiano baina ya nchi hizo mbili hususan katika sekta ya nishati. 

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (Kulia), akitazama kabrasha alilopatiwa na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke (katikati), linaloonesha maeneo ya ushirikiano baina ya nchi hizo mbili hususan katika sekta ya nishati. Kushoto ni Ofisa kutoka Ubalozi huo, Julia Hannig. Balozi Kochanke alimtembelea Waziri Muhongo hivi karibuni ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...