Mzoga wa faru mweupe aitwaye Limpompo ambaye aliuwawa na majangili mwaka juzi akiwa ni mmoja wa faru watano ambao mwaka 2007 Rais Jakaya Mrisho kikwete wakati huo aliwaleta kutoka Afrika ya Kusini  ili kuzaliana upya baada ya wanayama hao kutoweka Serengeti. Limpompo na John ndio faru waliosalia kati ya hao watano. Picha za mzoga wa Faru John hazijapatikana bado.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...