Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa(kushoto)akipokea mfano wa hundi wenye thamani ya Tsh Milioni 20 kutoka kwa Meneja wa TIB Corperate Bank Limited tawi la Arusha, Bi. Juliana Mwansuva (kulia) ukiwa ni mchango wa benki hiyo kwa ajili ya kununua Pikipiki ambazo Waziri Mkuu amezikabidhi leo kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha wanaoshudia kutoka kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo, Mkurugenzi Mkuu wa TIB Corperate Bank, Bw. Frank Nyabundege na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe.


Meneja wa TIB Corperate Bank Limited tawi la Arusha,Juliana Mwansuva(kulia)akipongezwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo baada ya kumkabidhi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Kassim Majaliwa(kushoto) mfano wa hundi wenye thamani ya Sh 20 milioni kwaajili ya kununua Pikipiki .

Baadhi ya walionufaika na Pikipiki zilizotolewa na Waziri Mkuu ambazo zilichangiwa na wadau mbalimbali mkoani Arusha. Mradi huo utawawezesha vijana kurejesha fedha zenye thamani ya Pikipiki kisha kuwa wamiliki halali.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha, Me. Mrisho Gambo wakizungumza na mmoja wa watu wenye ulemavu walionufaika na msaada wa Pikipiki leo.

Pikipiki mpya zaidi ya 200 zenye thamani ya Sh 400 milioni zilizotolewa kwa vijana jijini Arusha leo katika ziara ya Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa.
Imeandaliwa na www.rweyemamuinfo.blogspot.com Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...