Mbunge wa Mkuranga Bw Hamisi Abdala Ulega Akisalimiana na Mmoja wa Waumini Bw Alfred John Kanisani hapo
Akiwa Katika Dua ya Pamoja na waumini wa Kanisa hilo la Kigango cha Mwanambaya Wilayani Mkuranga.
Mbunge
wa Mkuranga Bw Hamis Abdala Ulega Akiongea na Waumini wa Kanisa la
Kigango cha Mwanambaya lililopo Mwanambaya Wilayani Mkuranga na Kuwataka
kumkumbuka Muumba katika kila Jambo Katika Maisha yao kila siku.Picha
na Yasir Adam Globu ya Jamii
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...