Waziri wa Nishati na Madini,
Profesa Sospeter Muhongo (wa pili kulia), Balozi wa Korea nchini, Song, Geum-Young (wa pili kushoto) na Watendaji wa kampuni ya
Empower itakayotoa mafunzo ya utengenezaji wa vifaa vya Umeme Jua nchini, Dkt. Hong
Kyu Choi (kulia) na Dkt. Herb Rhee (kushoto) . wakiwa wameshika taa za
Umeme Jua zinazotengenezwa na
kampuni hiyo.
Waziri wa Nishati na Madini,
Profesa Sospeter Muhongo (wa kwanza kulia) akizungumza wakati Balozi wa Korea nchini, Song, Geum-Young (wa Tatu kushoto) na Watendaji wa kampuni ya
Empower itakayotoa mafunzo ya utengenezaji wa vifaa vya Umeme Jua nchini, Dkt.
Hong Kyu Choi (wa Pili kushoto) na Dkt. Herb Rhee (wa kwanza kushoto), walipofika ofisini kwake ili kumuonesha vifaa vya Umeme Jua vinavyotengenezwa na
kampuni hiyo ikiwemo Taa na Chaja za Simu.
Waziri wa Nishati na Madini,
Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akiwasha Taa ya Umeme Jua wakati Balozi wa Korea nchini, Song, Geum-Young (hayupo pichani) na Watendaji wa kampuni ya
Empower itakayotoa mafunzo ya utengenezaji wa vifaa vya Umeme Jua nchini, Dkt.
Hong Kyu Choi (kulia) na Dkt. Herb Rhee (hayupo pichani), walipofika ofisini kwake ili kumuonesha vifaa vya Umeme Jua vinavyotengenezwa na
kampuni hiyo ikiwemo Taa na Chaja za Simu.





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...