Kaimu Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania, Domician Mkama (katikati) akionyesha moja ya simu za Tecno Phantom 6 na Tecno Phantom 6+, kwenye hafla ya uzinduzi wa simu hizo uliofanywa kwa Ushirikiano wa Tecno Mobile Tanzania jijini Dar es Salaam leo Desemba 16, 2016. Kushoto ni Afisa Mauzo Mwandamizi wa Tecno Mobile Tanzania, William Motta na kulia ni Mkuu wa Bidhaa wa Vodacom Tanzania, Samson Mwongela.
Kaimu Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania, Domician Mkama (katikati) akizungumza na waandishi wa habari huku akionyesha moja ya simu za Tecno Phantom 6 na Tecno Phantom 6+, kwenye hafla ya uzinduzi wa simu hizo uliofanywa kwa Ushirikiano wa Tecno Mobile Tanzania jijini Dar es Salaam leo Desemba 16, 2016. Kushoto ni Afisa Mauzo Mwandamizi wa Tecno Mobile Tanzania, William Motta na kulia ni Mkuu wa Bidhaa wa Vodacom Tanzania, Samson Mwongela.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na Tecno Mobile Tanzania ,wakionyesha simu aina ya Tecno Phantom 6 na Tecno Phantom 6+ zilizopo kwenye maboksi, wakati wa hafla ya uzinduzi wa simu hizo jijini Dar es Salaam leo Desemba 16,2016.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...