Wabunge wa Tanzania walioko London Uingereza kushiriki Mkutano wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola (CPA) katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt. Asha Rose Migiro walipomtembelea ubalozini jijini London.
Balozi Migiro akiwa na Wabunge walipomtembelea ofisini kwake jijini London. Picha kwa hisani ya Ofisi ya Bunge.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...