Mkurugenzi wa MM Connects Ltd, Emmanuel Makaki( kushoto) akifurahia tuzo yake ya ubora katika Mauzo ya Rejareja iliyotolewa na Vodacom Tanzania, mara baada ya kukabidhiwa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wanaoshangilia ni timu ya wafanyakazi wa kampuni hiyo kitengo cha Mauzo ya Rejareja ambao walitembeklea duka hilo lililopo Kariakoo jijini.
Wateja wa Vodacom Tanzania, wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa kitengo cha Mauzo ya Rejareja wa Vodacom Tanzania, Brigita Stephen (wa pili kushoto) wakati yeye na timu ya wafanyakazi wenzake wa kitengo hicho walipotemvbelea duka la Vodacom Samora Avenue jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Deltaafrica, Mohamme Araz (kulia) na wafanyakazi wenzake wakifurahia tuzo yao ya ubora katika Mauzo ya Rejareja iliyotolewa na Vodacom Tanzania, wakati wafanyakazi wa kitengo cha Mauzo ya Rejareja walipotemblea duka lake la Vodacom Samora Avenue jijini Dar esSalaam leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. VODACOM HAMFAI HAMUWEZI KUTOA VIFURUSHI VYA UPENDELEO KUPIGA UGANDA NI BEI NAFUU KUPIGA AFRIKA KUSINI,UK.INDIA,KENYA WAKATI HAMTOI VIFURUSHI KWA WATANZANIA KUONGEA NA UGANDA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...