Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya asili ya kabila la Wairaq baada kuwasili kwenye ofisi za Mamlaka ya  Hifadhi ya Ngorongoro akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha Desemba 6, 2016. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na wapili kulia kwake ni  Waziri  wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya asili ya Wairaq  baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha Desemba 6, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wasichana wakicheza ngoma ya asili ya kabila la Wairaq wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipowasili kwenye Ofisi za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha, Desemba 6, 2016. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...