Mshindi wa Promotion ya Whitedent ya kubuni idadi ya dawa za meno ziliko
kwenye gari mkoani Arusha, Misana Butingo(kulia)akipokea funguo za gari
kutoka kwa Afisa Utamaduni na Michezo wa jiji la Arusha,Benson
Maneno(wapili kushoto) wengine ni Meneja wa Tawi la Whitedent Arusha Joyce Kisanga(kushoto) na Diwani wa Kata ya Themi, Melace Kinabo(picha na Woinde Shizza,Arusha).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...