Mkuu wa Mauzo wa Zantel
Tanzania, Herbert Louis (kulia), akiwaonyesha baadhi ya wakazi wa mji wa Tanga
kupitia simu ya mkononi jinsi mtandao wa kasi wa 4G wa kampuni hiyo unavyofanya kazi pamoja
na baadhi ya bidhaa, hudumana ofa maalumu
kwa ajili ya mji wa Tanga. Hafla hiyo ikiwa ni moja ya kampeni za masoko
kufikisha huduma na bidhaa zao karibu na wateja ilifanyika katika Viwanja vya
Tangamano mjini humo hivi karibuni.
Ofisa Masoko wa
Zantel, Deus Mtena (kulia), akizungumza na baadhi ya wakazi wa mji wa Pongwe
nje kidogo ya Jiji la Tanga jana kuhusu huduma, bidhaa na ofa maalumu kwa mji
wa Tanga ikiwa ni moja ya kampeni za
masoko kufikisha huduma na bidhaa zao karibu na wateja.
Ofisa Masoko Masoko wa Zantel, Emmiliana Vokolavene (wa
pili kulia), akizungumza na baadhi ya wakazi wa mji wa Pongwe nje kidogo ya
Jiji la Tanga jana kuhusu huduma, bidhaa wazitoazo na ofa maalumju kwa ajili ya
Tanga ikiwa ni moja ya kampeni za masoko
kufikisha huduma na bidhaa zao karibu na wateja.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...