Jumuiya ya Watanzania Seattle, Marekani, wakiwa katika picha ya kumbukumbu baada ya kufanya hitma ya mwenzao marehemu Ubwa Jaha Ubwa aliyefariki dunia Desemba 30, 2015 na kuzikwa siku ya pili. Hitma hiyo imefanyika Itafanyika katika jengo Boys and Girls club. Spiritwood Manor Apartments jana Jumamosi.
Home
Unlabelled
HITMA YA MAREHEMU UBWA JAHA UBWA YAFANYIKA JUMAMOSI SEATTLE, MAREKANI,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...