Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akipokea kitabu kilichojikita katika Tafiti ya Kazi za Sanaa za Tanzania kutoka kwa Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Bi. Florence Tinguely Mattli alipomtembelea Waziri huyo ofisini kwake leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akimsikiliza Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Bi. Florence Tinguely Mattli alipomtembelea ofisini kwake mapema leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Bi. Florence Tinguely Mattli alipofanya ziara ya kikazi ofisini kwake leo. Kulia ni Mkuu wa Mahusiano wa ubalozi wa Uswisi nchini Bi. Romana Tadeschi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Bi. Florence Tinguely Mattli (hayupo pichani) alipotembelewa na Balozi huyo ofisini kwake leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...