Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
Fedha ya umma inatakiwa kuheshimiwa kutokana na majukumu yake ya kuhudumia wananchi.
Hayo yalisemwa na kaimu mkurugenzi mtendaji wa bodi ya manunuzi na ugavi (PSPB), Godfred Mbayi wakati wa kufunga mafunzo ya masuala ya manunuzi katika taasisi ya moyo ya jakaya kikwete (JKCI), amesema fedha ya umma ikiheshimiwa maendeleo yatapatikana tu.
Mbayi amesema kuna nchi zilianza na Tanzania zimeweza kufika mbali katika matumizi ya fedha za umma. Amesema kazi ya manunuzi inatakiwa kufanyika kwa mfumo wa pamoja kwa kuzingatia sheria na taratibu zilizowekwa.
Ameongeza kuwa ili manunuzi yafanyike, maadili ya wataalam yanahitajika kwa kuangalia uzalendo kwanza wa nchi. Hata hivyo amesema kuwa hakuna ugumu katika kufanya manunuzi kinachohitajika ni kufuata sheria.
Mkurugenzi
Mtendaji wa taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Profesa Mohamed Janabi,
akizungumza kabla ya kumkaribisha kaimu mkurugenzi mtendaji wa PSPTB,
Godfred Mbayi (katikati) kuzungumza washirikiwa warsha hiyo. Kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya taaluma PSPTB, Ally Songoro.
Mwanasheria kutoka taasisi ya PPAA , Hamis Tika akizungumza na watumishi wa taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete.
Baadhi ya wafanyakazi wa tasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete wakisikiliza kwa makini juu ya mafunzo ya masuala ya manunuzi.

Mkurugenzi wa Maendeleo ya taaluma PSPTB, Ally Songoro akizungumza na wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete .

Afisa Mwanadamizi wa Mahusiano ya Umma na Masoko PSPTB, Shamim Mdee akiwa na Mratibu Mkuu wa Utafiti na Ushauri PSPTB, Amos Kazinza wakifuatilia mafunzo.
Fedha ya umma inatakiwa kuheshimiwa kutokana na majukumu yake ya kuhudumia wananchi.
Hayo yalisemwa na kaimu mkurugenzi mtendaji wa bodi ya manunuzi na ugavi (PSPB), Godfred Mbayi wakati wa kufunga mafunzo ya masuala ya manunuzi katika taasisi ya moyo ya jakaya kikwete (JKCI), amesema fedha ya umma ikiheshimiwa maendeleo yatapatikana tu.
Mbayi amesema kuna nchi zilianza na Tanzania zimeweza kufika mbali katika matumizi ya fedha za umma. Amesema kazi ya manunuzi inatakiwa kufanyika kwa mfumo wa pamoja kwa kuzingatia sheria na taratibu zilizowekwa.
Ameongeza kuwa ili manunuzi yafanyike, maadili ya wataalam yanahitajika kwa kuangalia uzalendo kwanza wa nchi. Hata hivyo amesema kuwa hakuna ugumu katika kufanya manunuzi kinachohitajika ni kufuata sheria.
Baadhi ya wafanyakazi wa tasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete wakisikiliza kwa makini juu ya mafunzo ya masuala ya manunuzi.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya taaluma PSPTB, Ally Songoro akizungumza na wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete .
Afisa Mwanadamizi wa Mahusiano ya Umma na Masoko PSPTB, Shamim Mdee akiwa na Mratibu Mkuu wa Utafiti na Ushauri PSPTB, Amos Kazinza wakifuatilia mafunzo.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...