Familia ya marehemu Balozi Cecil A. Kallaghe itakuwa na misa ya kumbukumbu ya marehemu mama Joyce B Kallaghe, aliyefariki tarehe 1 Februari 2017. Misa itafanyika nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es salaam siku ya Jumamosi tarehe 25 Februari 2017 saa 3 asubuhi. Wote mnakarbishwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...