Gari ndogo aina ya Toyota Verossa yenye namba za usajili T 957 CPB likiwa ndani ya mtaro ulipo kando ya barabara ya Mandela, eneo la Tabata Relini jijini Dar es salaam usiku huu, baada ya kupiga mweleka. haikufahamika kwa haraka chanzo cha gari hiyo kupiga huo mweleka huo. hakuna alieripotiwa kupoteza maisha katika ajali hiyo.
Lori lenye "winch" likiwa eneo la tukio ili kuweza kuichomoa gari hiyo mtaroni.




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...